Ufunuo 3:8 BHN

8 Nayajua mambo yako yote! Sasa, nimefungua mbele yako mlango ambao hakuna mtu awezaye kuufunga; najua kwamba ingawa huna nguvu sana, hata hivyo, umelitii neno langu wala hukulikana jina langu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:8 katika mazingira