10 wale wazee ishirini na wanne hujiangusha mbele ya huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi na kumwabudu huyo ambaye anaishi milele na milele; na huziweka taji zao mbele ya kiti cha enzi wakisema:
Kusoma sura kamili Ufunuo 4
Mtazamo Ufunuo 4:10 katika mazingira