Ufunuo 4:11 BHN

11 “Wastahili ee Bwana na Mungu wetu,kupokea utukufu na heshima na nguvu.Maana wewe uliumba vitu vyote,na kwa matakwa yako viliumbwa na vipo.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 4

Mtazamo Ufunuo 4:11 katika mazingira