Ufunuo 5:1 BHN

1 Kisha nikaona kitabu katika mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa kwa mihuri saba.

Kusoma sura kamili Ufunuo 5

Mtazamo Ufunuo 5:1 katika mazingira