Ufunuo 5:13 BHN

13 Nikasikia viumbe vyote mbinguni, duniani, chini ya dunia na baharini – viumbe vyote ulimwenguni – vikisema:“Kwake yeye aketiye katika kiti cha enzi,na kwa Mwanakondoo,iwe sifa na heshima na utukufu na enzi,milele na milele.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 5

Mtazamo Ufunuo 5:13 katika mazingira