Ufunuo 5:9 BHN

9 Basi, wakaimba wimbo huu mpya:“Wewe wastahili kukitwaa hicho kitabuna kuivunja mihuri yake.Kwa sababu wewe umechinjwa,na kwa damu yako umemnunulia Mungu wetuwatu kutoka kila kabila, lugha, jamaa na taifa.

Kusoma sura kamili Ufunuo 5

Mtazamo Ufunuo 5:9 katika mazingira