Ufunuo 6:1 BHN

1 Kisha, nikamwona Mwanakondoo anavunja mhuri mmojawapo wa ile mihuri saba. Nikasikia mmoja wa wale viumbe hai wanne akisema kwa sauti kama ya ngurumo, “Njoo!”

Kusoma sura kamili Ufunuo 6

Mtazamo Ufunuo 6:1 katika mazingira