Ufunuo 6:2 BHN

2 Mimi nikatazama, na kumbe palikuwa na farasi mmoja mweupe hapo. Na mpandafarasi wake alikuwa na upinde, akapewa na taji. Basi, akatoka kama mshindi, aendelee kushinda.

Kusoma sura kamili Ufunuo 6

Mtazamo Ufunuo 6:2 katika mazingira