Ufunuo 6:13 BHN

13 nazo nyota za mbingu zikaanguka juu ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Kusoma sura kamili Ufunuo 6

Mtazamo Ufunuo 6:13 katika mazingira