12 Kisha nikatazama, na wakati Mwanakondoo alipouvunja mhuri wa sita, kukawa na tetemeko kubwa la ardhi; jua likawa jeusi kama gunia la manyoya; mwezi wote ukawa mwekundu kama damu;
Kusoma sura kamili Ufunuo 6
Mtazamo Ufunuo 6:12 katika mazingira