4 Nami nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mwingine hapo, mwekundu. Mpandafarasi wake alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani, watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa.
Kusoma sura kamili Ufunuo 6
Mtazamo Ufunuo 6:4 katika mazingira