Ufunuo 6:5 BHN

5 Kisha Mwanakondoo akavunja mhuri wa tatu. Nikamsikia yule kiumbe hai wa tatu akisema, “Njoo!” Nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mmoja hapo, mweusi. Mpandafarasi wake alikuwa na vipimo viwili vya kupimia uzito mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 6

Mtazamo Ufunuo 6:5 katika mazingira