Ufunuo 7:9 BHN

9 Kisha, nikatazama, nikaona umati mkubwa wa watu wasiohesabika: Watu wa kila taifa, ukoo, jamaa na lugha. Nao walikuwa wamesimama mbele ya kiti cha enzi na mbele ya Mwanakondoo, wamevaa mavazi meupe na kushika matawi ya mitende mikononi mwao.

Kusoma sura kamili Ufunuo 7

Mtazamo Ufunuo 7:9 katika mazingira