Ufunuo 8:3 BHN

3 Malaika mwingine akafika, anachukua chetezo cha dhahabu, akasimama mbele ya madhabahu ya kufukizia ubani. Naye akapewa ubani mwingi autoe sadaka pamoja na sala za watu wote wa Mungu juu ya madhabahu ya dhahabu iliyo mbele ya kiti cha enzi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 8

Mtazamo Ufunuo 8:3 katika mazingira