Ufunuo 8:4 BHN

4 Moshi wa ubani ukapanda juu, pamoja na sala za watu wa Mungu kutoka mikononi mwake huyo malaika aliyekuwa mbele ya Mungu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 8

Mtazamo Ufunuo 8:4 katika mazingira