Ufunuo 9:2 BHN

2 Basi, nyota hiyo ikafungua shimo la kuzimu, kukatoka moshi wa tanuri kubwa. Jua na anga vikatiwa giza kwa moshi huo wa kuzimu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:2 katika mazingira