Ufunuo 9:1 BHN

1 Kisha, malaika wa tano akapiga tarumbeta yake. Nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni. Nayo ikapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:1 katika mazingira