Ufunuo 9:5 BHN

5 Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na nge.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:5 katika mazingira