Ufunuo 9:6 BHN

6 Muda huo watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia.

Kusoma sura kamili Ufunuo 9

Mtazamo Ufunuo 9:6 katika mazingira