Waebrania 11:10 BHN

10 Maana Abrahamu alikuwa akingojea mji wenye misingi imara, mji ambao Mungu mwenyewe ndiye fundi aliyeubuni na kuujenga.

Kusoma sura kamili Waebrania 11

Mtazamo Waebrania 11:10 katika mazingira