Waebrania 11:5 BHN

5 Kwa imani Henoki alichukuliwa na Mungu, asipate kufa. Hakuonekana tena kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Maandiko yasema kwamba kabla ya kuchukuliwa kwake, yeye alikuwa amempendeza Mungu.

Kusoma sura kamili Waebrania 11

Mtazamo Waebrania 11:5 katika mazingira