Waebrania 11:6 BHN

6 Basi, pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu. Kwa maana kila mtu anayemwendea Mungu ni lazima aamini kwamba Mungu yuko, na kwamba huwatuza wale wanaomtafuta.

Kusoma sura kamili Waebrania 11

Mtazamo Waebrania 11:6 katika mazingira