Waebrania 13:3 BHN

3 Wakumbukeni wale waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao. Wakumbukeni wale wanaoteseka kana kwamba nanyi mnateseka kama wao.

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:3 katika mazingira