Waebrania 13:4 BHN

4 Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:4 katika mazingira