Waebrania 13:5 BHN

5 Msiwe watu wa kupenda fedha; toshekeni na vile vitu mlivyo navyo. Mungu mwenyewe amesema: “Sitakuacha kamwe, wala sitakutupa.”

Kusoma sura kamili Waebrania 13

Mtazamo Waebrania 13:5 katika mazingira