3 Basi, sisi tutaokokaje kama hatuujali wokovu mkuu kama huu? Kwanza Bwana mwenyewe aliutangaza wokovu huu, na wale waliomsikia walituthibitishia kwamba ni kweli.
Kusoma sura kamili Waebrania 2
Mtazamo Waebrania 2:3 katika mazingira