4 Mungu pia aliongeza hapo ushahidi wake kwa kufanya kila namna ya miujiza na maajabu, na kwa kuwagawia watu vipaji vya Roho Mtakatifu kadiri ya mapenzi yake.
Kusoma sura kamili Waebrania 2
Mtazamo Waebrania 2:4 katika mazingira