Waebrania 3:16 BHN

16 Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri.

Kusoma sura kamili Waebrania 3

Mtazamo Waebrania 3:16 katika mazingira