Waebrania 4:15 BHN

15 Huyu Kuhani Mkuu wetu anaelewa kabisa unyonge wetu; yeye mwenyewe alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.

Kusoma sura kamili Waebrania 4

Mtazamo Waebrania 4:15 katika mazingira