Waebrania 5:1 BHN

1 Kila kuhani mkuu ambaye huchaguliwa miongoni mwa watu hupewa jukumu la kushughulikia mambo ya Mungu kwa niaba ya watu, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi.

Kusoma sura kamili Waebrania 5

Mtazamo Waebrania 5:1 katika mazingira