Waebrania 5:5 BHN

5 Hali kadhalika naye Kristo; yeye hakujitwalia mwenyewe heshima ya kuwa kuhani mkuu, bali Mungu alimteua na kumwambia:“Wewe ni Mwanangu;mimi leo nimekuwa baba yako.”

Kusoma sura kamili Waebrania 5

Mtazamo Waebrania 5:5 katika mazingira