Waebrania 5:4 BHN

4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni.

Kusoma sura kamili Waebrania 5

Mtazamo Waebrania 5:4 katika mazingira