Waebrania 8:6 BHN

6 Lakini sasa Yesu amepewa huduma ya kikuhani iliyo bora kuliko yao, kama vile agano alilothibitisha kati ya watu na Mungu ni bora zaidi, kwani lina msingi wake katika ahadi za mambo yaliyo bora zaidi.

Kusoma sura kamili Waebrania 8

Mtazamo Waebrania 8:6 katika mazingira