Yohane 10:3 BHN

3 Mngojamlango wa zizi humfungulia, na kondoo husikia sauti yake; naye huwaita kondoo wake kila mmoja kwa jina lake, na kuwaongoza nje.

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:3 katika mazingira