Yohane 10:4 BHN

4 Akisha watoa nje huwatangulia mbele, nao kondoo humfuata, kwani wanaijua sauti yake.

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:4 katika mazingira