Yohane 10:32 BHN

32 Yesu akawaambia, “Nimewaonesheni kazi nyingi kutoka kwa Baba. Ni ipi kati ya hizo inayowafanya mnipige mawe?”

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:32 katika mazingira