Yohane 10:33 BHN

33 Wayahudi wakamjibu, “Hatukupigi mawe kwa ajili ya kazi njema, ila kwa sababu ya kumkufuru Mungu! Maana wajifanya kuwa Mungu hali wewe ni binadamu tu.”

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:33 katika mazingira