56 Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”
Kusoma sura kamili Yohane 11
Mtazamo Yohane 11:56 katika mazingira