Yohane 11:57 BHN

57 Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.

Kusoma sura kamili Yohane 11

Mtazamo Yohane 11:57 katika mazingira