Yohane 12:34 BHN

34 Basi, umati huo ukamjibu, “Sisi tunaambiwa na sheria yetu kwamba Kristo atadumu milele. Wawezaje basi, kusema ati Mwana wa Mtu anapaswa kuinuliwa? Huyo Mwana wa Mtu ni nani?”

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:34 katika mazingira