Yohane 12:35 BHN

35 Yesu akawaambia, “Mwanga bado uko nanyi kwa muda mfupi. Tembeeni mngali mnao huo mwanga ili giza lisiwapate; maana atembeaye gizani hajui aendako.

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:35 katika mazingira