Yohane 13:26 BHN

26 Yesu akajibu, “Yule nitakayempa kipande cha mkate nilichochovya katika sahani, ndiye.” Basi, akatwaa kipande cha mkate, akakichovya katika sahani, akampa Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti.

Kusoma sura kamili Yohane 13

Mtazamo Yohane 13:26 katika mazingira