27 Yuda alipokwisha pokea kipande hicho, Shetani akamwingia. Basi Yesu akamwambia, “Unachotaka kufanya, kifanye haraka!”
Kusoma sura kamili Yohane 13
Mtazamo Yohane 13:27 katika mazingira