32 Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya hivyo mara.
Kusoma sura kamili Yohane 13
Mtazamo Yohane 13:32 katika mazingira