Yohane 13:33 BHN

33 “Watoto wangu, bado niko nanyi kwa muda mfupi tu. Mtanitafuta, lakini sasa nawaambieni yale niliyowaambia viongozi wa Wayahudi: ‘Niendako nyinyi hamwezi kwenda!’

Kusoma sura kamili Yohane 13

Mtazamo Yohane 13:33 katika mazingira