10 Simoni Petro alikuwa na upanga; basi, akauchomoa, akamkata sikio la kulia mtumishi wa kuhani mkuu. Mtumishi huyo aliitwa Malko.
Kusoma sura kamili Yohane 18
Mtazamo Yohane 18:10 katika mazingira