Yohane 18:11 BHN

11 Basi, Yesu akamwambia Petro, “Rudisha upanga wako alani. Je, nisinywe kikombe cha mateso alichonipa Baba?”

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:11 katika mazingira