Yohane 18:3 BHN

3 Basi, Yuda alichukua kikosi cha askari na walinzi kutoka kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, akaja nao bustanini wakiwa na taa, mienge na silaha.

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:3 katika mazingira