Yohane 19:26 BHN

26 Yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi aliyempenda, akamwambia mama yake, “Mama! Tazama, huyo ndiye mwanao.”

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:26 katika mazingira