Yohane 19:27 BHN

27 Halafu akamwambia yule mwanafunzi, “Tazama, huyo ndiye mama yako.” Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:27 katika mazingira